Ratiba ya Simba Kombe la Shirikisho CAF 2024-2025

Filed in Michezo Bongo by on February 17, 2025 0 Comments

Ratiba ya Simba Kombe la Shirikisho CAF 2024-2025 | Kombe la Shirikisho 2024/2025: Baada ya kumaliza msimu wa 2023/2024 kwa matokeo mabaya ambayo yamewanyima tiketi ya kufuzu Ligi ya Mabingwa Afrika, safari ya Simba SC katika Kombe la Shirikisho Afrika imetangazwa rasmi. CAF imetangaza ratiba ya michuano ya Kombe la Shirikisho 2024/25, na Simba SC sasa inajipanga kwa changamoto mpya ya kutinga hatua ya makundi na hatimaye kuwania ubingwa.

Kutokana na Simba SC kuwa na pointi nyingi za CAF, Wekundu hao wa Msimbazi wamebahatika kuaga katika raundi ya kwanza ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika inayojulikana pia kwa jina la CAF Confederation Cup.

Hii ina maana kwamba Simba SC itaanza moja kwa moja katika mzunguko wa pili, ambapo itamenyana na mshindi kati ya Uhamiaji FC (Zanzibar) na mshindi wa Kombe la Shirikisho la Libya, Libya 1.

Ratiba ya Simba Kombe la Shirikisho CAF 2024-2025

Ratiba ya Simba Kombe la Shirikisho CAF 2024-2025

Ratiba ya Simba Kombe la Shirikisho CAF 2024-2025

Penedekezo La Mhariri:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *