Rodri Ajumuishwa Kikosini Hatua ya Mtoano ya UEFA

Filed in Michezo Mambele by on February 7, 2025 0 Comments

Rodri Ajumuishwa Kikosini Hatua ya Mtoano ya UEFA | Rodri anarejea kwenye kikosi cha Manchester City kwa ajili ya hatua ya 16 bora ya UEFA Champions League

Kiungo nyota wa Manchester City Rodri amejumuishwa rasmi kwenye kikosi cha timu hiyo kwa ajili ya michuano ya UEFA Champions League hatua ya 16 bora.

Mbali na Rodri, wachezaji wengine walioitwa ni pamoja na Omar Marmoush, Abdukodir Khusanov na Nico Gonzalez, ambao pia wamejumuishwa katika hatua hii muhimu ya kinyang’anyiro hicho. ✅

Rodri Ajumuishwa Kikosini Hatua ya Mtoano ya UEFA

Rodri Ajumuishwa Kikosini Hatua ya Mtoano ya UEFA

Hata hivyo, beki Vitor Reis hajaitwa na Manchester City kwa ajili ya michuano hii. 🚫

Mabingwa watetezi wa UEFA Champions League Manchester City watakuwa na matumaini ya kuendeleza kampeni ya kutetea taji wakiwa na kikosi imara, na Rodri anatarajiwa kuwa mchezaji muhimu katika safu ya kiungo katika hatua ya mtoano.

Pendekezo La Mhariri:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *