Ruben Amorim Akiri Ugumu Man U Baada ya Kupoteza Dhidi ya Tottenham
Ruben Amorim Akiri Ugumu Man U Baada ya Kupoteza Dhidi ya Tottenham | Meneja wa Manchester United Ruben Amorim amesema kibarua chake katika klabu hiyo ni “kigumu sana” kufuatia kipigo cha 1-0 kutoka kwa Tottenham Hotspur kwenye Ligi ya Premia.
Ruben Amorim Akiri Ugumu Man U Baada ya Kupoteza Dhidi ya Tottenham
Tottenham iliifunga Manchester United 1-0 kwa bao la James Maddison
Katika mechi ya jana, James Maddison aliifungia Tottenham bao pekee katika kipindi cha kwanza, lililokuwa ushindi wa kwanza kwa Spurs nyumbani katika mechi nane za Ligi Kuu ya England.
Kwa Manchester United, matokeo hayo yanamaanisha kuwa timu hiyo inasalia katika hali mbaya, ikishuka hadi nafasi ya 15 kwenye jedwali la ligi.

Ruben Amorim Akiri Ugumu Man U Baada ya Kupoteza Dhidi ya Tottenham
Rekodi mbaya ya Manchester United chini ya Amorim
Baada ya kuchukua nafasi ya Erik ten Hag, Ruben Amorim ameiongoza Manchester United katika mechi 14, lakini amefanikiwa kushinda mechi nne pekee. Kwa jumla, Mashetani Wekundu wameshinda mechi nane pekee kati ya 25 msimu huu, na kuongeza shinikizo kwa Amorim na wachezaji wake.
Hali ya Manchester United inazidi kuwa mbaya
Mashabiki wa Manchester United wameelezea wasiwasi wao kuhusu mwenendo wa timu hiyo, huku matumaini ya kumaliza msimu wakiwa katika nafasi nzuri yakififia.
Pendekezo La Mhariri: