Simba SC Kukutana na Al Masry Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho CAF

Filed in Michezo Bongo by on February 20, 2025 0 Comments

Simba SC Kukutana na Al Masry Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho CAF | Klabu ya Simba SC imepangiwa kucheza dhidi ya Al Masry katika hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF 2024/2025.

Simba SC Kukutana na Al Masry Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho CAF

Mchezo wa kwanza utapigwa ugenini kati ya Machi 2, 2025, na mechi ya marudiano itachezwa nyumbani tarehe 9 Machi 2025.

Ratiba ya Mechi za Robo Fainali – Simba SC vs Al Masry

Simba SC Kukutana na Al Masry Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho CAF

Simba SC Kukutana na Al Masry Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho CAF

📅 Mkondo wa Kwanza: Ugenini – Tarehe 2 Machi 2025
📅 Mkondo wa Pili: Nyumbani – Tarehe 9 Machi 2025

Ratiba ya Nusu fainali

AL Masry vs Simba SC / Zamaleck vs Stellenbocsh

Simba SC Kujipanga kwa Ushindi

🔹 Simba SC wanatarajia kupata matokeo mazuri kwenye mchezo wa kwanza ili kuweka msingi wa kufuzu nusu fainali.
🔹 Al Masry pia watapambana kuhakikisha wanatumia vyema faida ya uwanja wa nyumbani kabla ya safari yao jijini Dar es Salaam kwa mechi ya marudiano.

Mashabiki wa Simba SC wana matumaini makubwa kwamba timu yao itafanya vizuri na kuendelea kusaka taji la Kombe la Shirikisho CAF. Je, Simba itaweza kufuzu nusu fainali?

Pendekezo La Mhariri:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *