Timu Zilizofuzu Robo Fainali Kombe La Shirikisho CAF 2024/2025
Timu Zilizofuzu Robo Fainali Kombe La Shirikisho CAF 2024/2025 | Michezo ya hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika inakaribia kufikia tamati huku vilabu vikubwa barani Afrika vikihangaika kuwania nafasi za kufuzu kwa hatua ya robo fainali.
Tayari baadhi ya timu zimejihakikishia nafasi ya kusonga mbele, huku zingine zikitegemea mechi za mwisho ili kuamua hatima yao. Msimu huu wa 2024/2025 mashindano ya shirikisho yameonyesha ushindani mkubwa, lakini pia umetupa mabingwa wapya wanaochipukia katika mashindano haya.
Timu Zilizofuzu Robo Fainali Kombe La Shirikisho CAF 2024/2025
- Zamalek
- RS Berkane
- Stellenbosch
- USM Alger
- Simba SC
- CS Constantine
Pendekezo La Mhariri: