Tottenham Yajiweka Pazuri Kuelekea Fainali ya Carabao Cup

Filed in Michezo Mambele by on January 9, 2025 0 Comments

Tottenham Yajiweka Pazuri Kuelekea Fainali ya Carabao Cup

Tottenham Yajiweka Pazuri Kuelekea Fainali ya Carabao Cup | Lucas Bergvall Aiongoza Tottenham kwa Ushindi Dhidi ya Liverpool kwenye Nusu Fainali ya Carabao Cup

Kinda wa miaka 18, Lucas Bergvall, ameonesha kiwango cha juu kwa kuifungia Tottenham Hotspur bao la ushindi dhidi ya Liverpool katika mkondo wa kwanza wa nusu fainali ya Kombe la Carabao (EFL Cup).

Bao la pekee la mchezo lilifungwa na Bergvall katika dakika ya 86, likiwafanya Spurs kushinda 1-0 dhidi ya Mabingwa watetezi wa kombe hilo, Liverpool.

Tottenham Yajiweka Pazuri Kuelekea Fainali ya Carabao Cup

Tottenham Yajiweka Pazuri Kuelekea Fainali ya Carabao Cup

Kwa matokeo hayo, Tottenham imejizatiti na sasa inahitaji tu matokeo mazuri kwenye mchezo wa marudiano utakaopigwa Februari 6, 2025, kwenye dimba la Anfield ili kufuzu kwa fainali ya Carabao Cup.

Pendekezo La Mhariri:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *