Twiga Stars vs Equatorial Guinea Kufuzu WAFCON 2026
Twiga Stars vs Equatorial Guinea Kufuzu WAFCON 2026 | Timu ya taifa ya soka ya wanawake ya Tanzania, Twiga Stars, itamenyana na Equatorial Guinea katika mchezo wa kuwania kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika kwa wanawake (WAFCON) 2026 Mechi hizo mbili za awamu hii zitachezwa kwa tarehe tofauti jambo ambalo lina umuhimu mkubwa kwa Twiga Stars kuelekea michuano hiyo mikuu ya Afrika.
Ratiba ya Twiga Stars vs Equatorial Guinea Kufuzu WAFCON 2026
Ratiba ya Mechi:
- Tanzania vs Equatorial Guinea
- Tarehe: Februari 20, 2025
- Uwanja: Azam Complex, Dar es Salaam
- Muda: Saa 10:00 jioni
- Equatorial Guinea vs Tanzania
- Tarehe: Februari 26, 2025
- Uwanja: Malabo Stadium, Malabo
- Muda: Saa 3:00 usiku

Twiga Stars vs Equatorial Guinea Kufuzu WAFCON 2026
Twiga Stars wataanza mechi ya kwanza nyumbani, Azam Complex, kabla ya kusafiri kuelekea Malabo kwa mchezo wa marudiano.
Twiga Stars imekuwa na mafanikio makubwa katika miaka ya hivi karibuni, lakini mechi dhidi ya Equatorial Guinea si kazi rahisi. Timu hiyo ya Afrika Magharibi inasifika kwa uzoefu wake wa muda mrefu katika mashindano ya kimataifa, lakini Twiga Stars ina nafasi nzuri ya kutumia mechi ya watani ili kuendeleza matokeo yake mazuri kabla ya mechi ya marudiano.
Pendekezo La Mhariri: