Uncategorized
Singida Black Stars Yathibitisha Kumsajili Serge Pokou
Singida Black Stars Yathibitisha Kumsajili Serge Pokou kutoka Al Hilal. Klabu ya Singida Black Stars imethibitisha rasmi kukamilisha usajili wa winga kutoka Ivory Coast, Serge Pokou, mwenye umri wa miaka 24, kutoka klabu ya Al Hilal Omdurman ya Sudan. Singida Black Stars Yathibitisha Kumsajili Serge Pokou Pokou, ambaye alikuwa mchezaji wa zamani wa Asec Mimosas ya […]
Kocha Mohamed Muya Ajiunga na Geita Gold FC
Kocha Mohamed Muya Ajiunga na Geita Gold FC Akichukua Mikoba ya Amani Josiah Kocha Mohamed Muya Ajiunga na Geita Gold FC, Kocha Mohamed Muya amesaini mkataba na Geita Gold FC, akichukua nafasi ya Amani Josiah, ambaye ameondoka na kujiunga na Tanzania Prisons. Muya, ambaye ni mtaalamu mwenye uzoefu mkubwa, atajitahidi kuboresha timu hiyo ya Championship […]
Fikirini Bakari Ajiunga na Tabora United Akitokea Singida BS
Fikirini Bakari Ajiunga na Tabora United Akitokea Singida BS Fikirini Bakari Ajiunga na Tabora United Akitokea Singida BS | Katika mabadiliko ya dirisha la usajili, mlinda mlango Fikirini Bakari amehamia Tabora United kutoka Singida Black Stars. Fikirini, ambaye msimu uliopita alikua akichezea Fountain Gate FC kwa mkopo, sasa ataitumikia Tabora United katika mzunguko wa pili […]