Usajili Pamba Jiji, Wachezaji Wapya Waliosajiliwa 2025
Usajili Pamba Jiji, Wachezaji Wapya Waliosajiliwa 2025 | Klabu ya Pamba Jiji imeongeza nguvu katika kikosi chake kwa kutambulisha wachezaji wapya ambao wataongeza ushindani na kuimarisha timu katika michuano ya msimu huu.
Hadi sasa, wachezaji hawa ni sehemu ya mipango ya baadaye ya klabu hiyo:
- Shassir Nahimana – Burundi 🇧🇮
- Mohamed Kamara – Sierra Leone 🇸🇱
- Francois Bakari – Cameroon 🇨🇲
- Mathew Tegis – Kenya 🇰🇪
- Abdulaye Camara – Guinea 🇬🇳
Wachezaji hawa wapya kutoka mataifa mbalimbali wataongeza uzoefu na ubora katika Pamba Jiji, huku timu ikijiandaa kwa changamoto za ndani na kimataifa.
Pendekezo La Mhariri:
- Wafungaji Bora CAF Kombe La Shirikisho Afrika 2024/2025
- Wachezaji Wenye Mabao Mengi Kombe la Shirikisho Afrika 2025
- Azam Yaachana na Bangala na Sidibe, Bangala Ajiunga AS Vita
- Haaland Asaini Mkataba Mpya wa Miaka 9 na Nusu Man City
- Timu zilizofuzu Kombe la Shirikisho Afrika CAF 2024/2025
- Jinsi ya kuangalia Matokeo ya Kidato cha Nne 2024
- Inaki Williams Afanyiwa Upasuaji, Atolewa Kipande cha Glasi Mguuni