Vituo vya Tiketi Mechi ya Yanga na Fountain Gate Ligi Kuu NBC
Vituo vya Tiketi Mechi ya Yanga na Fountain Gate Ligi Kuu NBC | vituo vya tiketi kwa ajili ya mechi ya Ligi Kuu ya NBC kati ya Yanga SC na Fountain Gate FC, ambayo itachezwa tarehe 29 Desemba 2024 saa 10:00 jioni katika uwanja wa KMC Complex, Mwenge.
Vituo vya Tiketi Mechi ya Yanga na Fountain Gate Ligi Kuu NBC
Vituo vya Tiketi:
- Young Africans – Jangwani
- Vunja Bei – Dar es Salaam Shops
- T-Money Ltd – Kigamboni
- Gitano Samweli – Mbagala Zakhem
- Khalfan Mohamed – Ilala
- Lampard Electronics
- Godwin Fredy – Geita
- Twisty Investment – Geita
- Gwambina Lounge – Gwambina
- Karoshy Pamba – Dar Live (Zakhem)
- Antonio Service – Sinza, Kivukoni
- Tumpe Kamwela – Kigamboni
- Sovereign – Kinondoni Makaburini
- View Blue Skyline – Mikocheni
- Mkaluka Traders – Machinga Complex
- New Tech General Traders – Ubungo
- Sabana Business – Mbagala Maji Matitu
- Juma Burrah – Kivukoni
- Juma Burrah – Msimbazi
- Alphan Hinga – Ubungo
- Mtemba Service Co. – Temeke
- Jackson Kimambo – Ubungo
- Shirima Shop – Leaders
Pendekezo La Mhariri: