Wafungaji Bora CAF Kombe La Shirikisho Afrika 2024/2025

Filed in Michezo Mambele by on January 17, 2025 0 Comments

Wafungaji Bora CAF Kombe La Shirikisho Afrika 2024/2025 | Wachezaji Wenye Mabao Mengi Kombe la Shirikisho Afrika 2024/25 CAF | Hadi sasa, katika hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika, wachezaji kadhaa wameonyesha kiwango cha juu kwa kufunga mabao muhimu.

Wafungaji Bora CAF Kombe La Shirikisho Afrika 2024/2025

Hapa ni orodha ya wachezaji waliovutia wengi kwa mabao yao:

Wafungaji Bora CAF Kombe La Shirikisho Afrika 2024/2025

  • Ismail Belkacemi (🇩🇿) – 4 mabao
  • Ifeanyi Ihemekwele (🇳🇬) – 4 mabao
  • Issoufou Dayo (🇧🇫) – 3 mabao
  • Brahim Dib (🇩🇿) – 2 mabao
  • Kibu Denis (🇹🇿) – 2 mabao
  • Jean Ahoua (🇨🇮) – 2 mabao
  • Dadi Mouaki (🇩🇿) – 2 mabao
  • Hossam Ashraf (🇪🇬) – 2 mabao
  • Ejaita Ifoni (🇲🇿) – 2 mabao
  • Joseph Atule (🇳🇬) – 2 mabao

Pendekezo La Mhariri:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *