Waliomaliza Mwaka Kibabe Kwenye Ufungaji NBC Ligi Kuu

Filed in Michezo Bongo by on December 30, 2024 0 Comments

Waliomaliza Mwaka Kibabe Kwenye Ufungaji NBC Ligi Kuu | Oroda ya Wafungaji Bora kwa msimu wa 2024/2025. Hadi kuelekea mwaka mpya wa 2025 NBCPL Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara imeshuudia wafungaji wa kila namna kuongoza kwenye mbio hizo ila leo tunakusogezea orodha ya wafungaji walio maliza mwaka kileleni mwa msimamo wa wafungaji bora kwenye ligi ya NBC Tanzania Bara NBC.

Waliomaliza Mwaka Kibabe Kwenye Ufungaji NBC Ligi Kuu

Waliomaliza Mwaka Kibabe Kwenye Ufungaji NBC Ligi Kuu

Waliomaliza Mwaka Kibabe Kwenye Ufungaji NBC Ligi Kuu

Hifua tayo ni orodha ya wafunaji bora kwa msimu wa mashindano wa NBC Tanzania Bara Ligi Kuu 2024/2025 hadi kumalizika kwa mwaka 2024:-

Nafasi Mchezaji Timu Magoli
1 Elvis Rupia Singida BS 7
2 Selemani Mwalimu Fountain Gate 6
3 Jean Ahoua Simba 5
4 William Edgar Fountain Gate 5
5 Leonel Ateba Simba 5
6 Peter Lwasa Kagera Sugar 5
7 Feisal Salum Azam 4
8 Maabad Maulid Coastal Union 4
9 Yacouba Songne Tabora UTD 4
10 Marouf Tchakei Singida BS 4
11 Heritier Makambo Tabora UTD 4
12 Nassor Saadun Azam 4
13 Offen Chikola Tabora UTD 4
14 Paul Peter Dodoma Jiji 4
15 Joshua Ibrahim KenGold 4
16 Max Nzengeli Young Africans 3
17 Salum Kihimbwa Fountain Gate 3
18 Gibril Sillah Azam 3
19 Hernest Malonga Coastal Union 3
20 Pacome Zouzoua Young Africans 3
21 Mishamo Daudi KenGold 3
22 Ibrahim Abdulla Bacca Young Africans 2
23 Lusajo Mwaikenda Azam 2
24 Emmanuel Keyekeh Singida BS 2
25 Dickson Ambundo Fountain Gate 2
26 Salehe Masoud Pamba Jiji 2
27 Zidane Ally Dodoma Jiji 2
28 Darueshi Saliboko KMC 2
29 Kassim Suleiman Fountain Gate 2
30 John Bocco JKT Tanzania 2

Pendekezo la Mhariri:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *