Yanga na Gor Mahia Kucheza Mechi ya Kirafiki 22 February

Filed in Michezo Bongo by on January 12, 2025 0 Comments

Yanga na Gor Mahia Kucheza Mechi ya Kirafiki 22 February

Yanga na Gor Mahia Kucheza Mechi ya Kirafiki 22 February | Pambano linalosubiriwa kwa hamu kati ya Gor Mahia na Yanga SC linatarajiwa kupigwa katika uwanja wa Jaramogi Oginga Odinga kaunti ya Siaya.

Mabingwa wa Kenya, Gor Mahia watamenyana na miamba ya soka ya Tanzania Young Africans (Yanga SC) katika mechi ya kirafiki tarehe 22 Februari 2025.

Mechi hiyo inayosubiriwa kwa hamu na mashabiki wengi itaandaliwa katika uwanja mpya wa Jaramogi Oginga Odinga kaunti ya Siaya.

Yanga na Gor Mahia Kucheza Mechi ya Kirafiki 22 February

Yanga na Gor Mahia Kucheza Mechi ya Kirafiki 22 February

Mchezo wa kirafiki kati ya wababe hao wa soka ulipangwa kuchezwa wakati wa uzinduzi wa uwanja huo wa kisasa Januari 2, 2025 lakini uliahirishwa kutokana na Yanga SC kushiriki Ligi ya Mabingwa Afrika.

Urafiki na ushirikiano kati ya Gor Mahia na Yanga SC umekua kwa kiasi kikubwa katika miaka ya hivi karibuni.

Hii imechochewa na ziara za kubadilishana na mipango inayohusisha viongozi kutoka klabu zote mbili.

Pendekezo La Mhariri:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *