Yanga Yazindua Rasmi Jezi Mpya za CAF 2024/2025

Filed in Michezo Bongo by on November 20, 2024 0 Comments

Yanga Yazindua Rasmi Jezi Mpya za CAF 2024/2025

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara na wawakilishi pekee wa Tanzania katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika, Yanga SC, wametambulisha rasmi jezi zao mpya za msimu wa 2024/2025. Jezi hizi mpya zitatumika katika hatua ya makundi ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika (CAF Champions League), mashindano ambayo yanatarajiwa kuanza rasmi tarehe 26 Novemba 2024.

Zikiwa zimebuniwa kwa ustadi wa hali ya juu, jezi hizi mpya zimezinduliwa kwa mbwembwe kubwa mbele ya mashabiki, wanachama, na viongozi wa klabu hiyo. Uzinduzi huo umeakisi dhamira ya Yanga SC ya kuimarisha taswira yake ya kimataifa na kuongeza morali ya wachezaji wanapolenga kutwaa taji la Klabu Bingwa Afrika.

Hizi Apa Picha za Jezi Mpya za Yanga CAF 2024/2025

Picha za Jezi Mpya za Yanga CAF 2024/2025 Yanga Yazindua Rasmi Jezi Mpya za CAF 2024/2025

Yanga Yazindua Rasmi Jezi Mpya za CAF

Tazama Hapa Video ya Uzinduzi wa Jezi za Yanga za CAF 2024/2025

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Vituo vya Kununua Tiketi Mechi ya Yanga vs Al Hilal 26.11.2024
  2. Viingilio Mechi ya Yanga vs Al Hilal 26.11.2024
  3. Viingilio Mechi ya Simba SC Dhidi ya FC Bravos do Maquis 27/11/2024

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *