Hizi Apa Jezi Mpya Za Simba Sc Kwa Ajili ya Mechi za CAF 2024/2025
Hizi Apa Jezi Mpya Za Simba Sc Kwa Ajili ya Mechi za CAF 2024/2025
Wawakilishi pekee wa Tanzania katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, Simba SC, leo wamezindua rasmi jezi zao mpya ambazo zitatumika katika safari yao ya kupambania ubingwa wa bara la Afrika.
Uzinduzi huu unakuja wakati timu hiyo ikiwa imepania kufanikisha malengo makubwa msimu huu, hasa baada ya kufikia hatua ya makundi. Mechi yao ya kwanza ya CAF itapigwa dhidi ya FC Bravos do Maquis ya Angola mnamo tarehe 27 Novemba 2024.
Katika makala hii, tumekusogezea picha za jezi hizi mpya zinazotarajiwa kuchochea ari na hamasa ya wapenzi wa klabu hiyo.
Mapendekezo ya Mhariri: