Hizi Apa Jezi Mpya Za Simba Sc Kwa Ajili ya Mechi za CAF 2024/2025

Filed in Michezo Bongo by on November 20, 2024 0 Comments

Hizi Apa Jezi Mpya Za Simba Sc Kwa Ajili ya Mechi za CAF 2024/2025

Wawakilishi pekee wa Tanzania katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, Simba SC, leo wamezindua rasmi jezi zao mpya ambazo zitatumika katika safari yao ya kupambania ubingwa wa bara la Afrika.

Uzinduzi huu unakuja wakati timu hiyo ikiwa imepania kufanikisha malengo makubwa msimu huu, hasa baada ya kufikia hatua ya makundi. Mechi yao ya kwanza ya CAF itapigwa dhidi ya FC Bravos do Maquis ya Angola mnamo tarehe 27 Novemba 2024.

Katika makala hii, tumekusogezea picha za jezi hizi mpya zinazotarajiwa kuchochea ari na hamasa ya wapenzi wa klabu hiyo.

Hizi Apa Jezi Mpya Za Simba Sc Kwa Ajili ya Mechi za CAF 2024/2025 Hizi Apa Jezi Mpya Za Simba Sc Kwa Ajili ya Mechi za CAF 2024/2025 Hizi Apa Jezi Mpya Za Simba Sc Kwa Ajili ya Mechi za CAF 2024/2025

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Yanga Yazindua Rasmi Jezi Mpya za CAF 2024/2025
  2. Vituo vya Kununua Tiketi Mechi ya Yanga vs Al Hilal 26.11.2024
  3. Viingilio Mechi ya Yanga vs Al Hilal 26.11.2024
  4. Viingilio Mechi ya Simba SC Dhidi ya FC Bravos do Maquis 27/11/2024

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *