Viingilio Mechi ya Simba SC Dhidi ya FC Bravos do Maquis 27/11/2024
Viingilio Mechi ya Simba SC Dhidi ya FC Bravos do Maquis 27/11/2024
Klabu ya Simba Sc almaharufu kama wkundu wa Msimbazi, imetangaza rasmi gharama za kwenda kuutazama mchezo wao wa kwanza wa hatua za maundi za kombe la shirikisho ambao umepangwa kutiua vumbi katika uwanja wa benjamin mkapa siku ya jumatano ya tarehe 27 novemba 2024. Bei za tiketi za kuingia uwanjani zinapatikana kwa bei tofauti kutokana na siti.
Hapa chini tumekuletea viingilio vilivyotangazwa vya kutazama mechi ya Simba SC Dhidi ya FC Bravos do Maquis
- Mzunguko – Tsh. 5,000
- Machungwa – Tsh. 10,000
- VIP C – Tsh. 15,000
- VIP B – Tsh. 20,000
- VIP A – Tsh. 50,000
- Platinum – Tsh. 150,000 (usafiri wa pamoja wakiwa na escort, eneo maalumu kukaa na chakula)
- Tanzanite – Tsh. 250,000 (VVIP, Gate Pass na jezi)
“Viingilio ni;
– Mzunguko – Tsh. 5,000
– Machungwa – Tsh. 10,000
– VIP C – Tsh. 15,000
– VIP B – Tsh. 20,000
– VIP A – Tsh. 50,000
– Platinum – Tsh. 150,000 (usafiri wa pamoja wakiwa na escort, eneo maalumu kukaa na chakula)
– Tanzanite – Tsh. 250,000 (VVIP, Gate Pass na jezi…— Simba Sports Club (@SimbaSCTanzania) November 20, 2024