Yanga Yazindua Rasmi Jezi Mpya za CAF 2024/2025
Yanga Yazindua Rasmi Jezi Mpya za CAF 2024/2025
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara na wawakilishi pekee wa Tanzania katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika, Yanga SC, wametambulisha rasmi jezi zao mpya za msimu wa 2024/2025. Jezi hizi mpya zitatumika katika hatua ya makundi ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika (CAF Champions League), mashindano ambayo yanatarajiwa kuanza rasmi tarehe 26 Novemba 2024.
Zikiwa zimebuniwa kwa ustadi wa hali ya juu, jezi hizi mpya zimezinduliwa kwa mbwembwe kubwa mbele ya mashabiki, wanachama, na viongozi wa klabu hiyo. Uzinduzi huo umeakisi dhamira ya Yanga SC ya kuimarisha taswira yake ya kimataifa na kuongeza morali ya wachezaji wanapolenga kutwaa taji la Klabu Bingwa Afrika.
Hizi Apa Picha za Jezi Mpya za Yanga CAF 2024/2025
Tazama Hapa Video ya Uzinduzi wa Jezi za Yanga za CAF 2024/2025
Official
Young Africans SC
𝐂𝐀𝐅𝐂𝐋 𝟐𝟎𝟐𝟒/𝟐𝟓 – 𝐊𝐈𝐓𝐒🔰#TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko pic.twitter.com/f1utUUjvMB— Young Africans SC (@YoungAfricansSC) November 20, 2024
Mapendekezo ya Mhariri: